Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 817
- 2,180
Habari jamii f Ls & Gs, nimemaliza shughuli zangu mda huu nimeona nisilale bila kunena nanyi.
Rejea kichwa hapo juu. kumekuwa na tabia ya wanaume walio wengi hasa waishio katika majiji kuwa na imani kwamba mahusiano sio lazima hasa kwa kipindi hiki ambapo wanawake wanajali zaidi pesa. Ukweli ni kwamba wengi wao huendekeza tabia za uasherati na sababu zao hazina ukweli ndani yake.
Wapo wanosema gharam ni nying kuwa na mwanamke mmoja hali unapata penzi lake mara 1 mara 1, wanadai ni bora kununua madada poa kwan hawana gharama za hapa na pale. Ninashauri vijana mtafute wapenzi kununua uwanjani pale na huko kwingine tmk, stk nk sio mchongo
1. Ukiwa na mpenzi unakuwa na uhakika yupo mtu anakutegemea hivyo inakupa ari kutafuta.
2. Unajiepusha na magonjwa ya zinaa.
3. Unaokoa pesa zako nyingi. mfano badala ya kutumia 50000 on single night na dada poa. unaweza mpa mpenzi 20000 na atashukuru sana.
4. Inakisaidia kuzuia ashki za ngono. vijana wengi hununua ngono kwa sababu huwa na uwezo wa kupata huduma mda wowote, hii hujenga uraibu na kufanya kila pesa unayoipata unapeleka huko. ukiwa na mpenz utajenga stara na hali hii itakuisha.
5. Ukiwa kijana ni ngumu kupata dadapoa wa kuzaa nae, ukiwa na mpenzi ni rahisi kifikiria ndoa. tuzaen bado vijana sio mtoto wa kwanza anakuona kaa babu yake.
NB: yote hapo juu ni kulingana na uzoefu wangu. binafsi nilikuwa natumia zaidi ya laki kila weekend club na warembo lakini cku nilipokuwa na mrembo mmoja nimejikuta nakaa na pesa na sina matumizi ya anasa. gharama nazokutana nazo sana ni kusuka, lotion na vikorombwezo anuai. kiukwel naenjoj sana.
Nilikuwa siwez kulala bila kula tunda na ilinilazimu kwenda night club almost daily na matumizi yalikuwa juu sana. now nipo na my wife to be sina stress. pesa haikati kama zamani nakaa siku 3 nna 10 tu mfukoni.