Umuhimu wa kwenda haja ndogo kila baada ya tendo la ndoa

Umuhimu wa kwenda haja ndogo kila baada ya tendo la ndoa

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Mara nyingi tunashauriwa kukojoa kila baada ya tendo la ndoa. Japokuwa wanawake wengi pamoja na kuwa na hamu ya kwenda haja ndogo kila baada ya tendo ila kutokana na uvivu na uchovu ujikuta katika usingizi mzito na kusahau tendo hili muhimu baada ya kufika kileleni. Umuhimu wa tendo hili ni kupunguza na kuzuia uwezekano wa kupata maambukizi ya magonjwa ya njia ya mkojo(U.T.I) na magonjwa ya zinaa(S.T.I)

Ikumbukwe kuwa tendo la ndoa huongeza presha kwenye kibofu na kusababisha hamu ya kukojoa kila baada ya tendo hali inayokuwezesha kuondoa vimelea vya magonjwa mbali mbali kabla ya kusambaa kwenye kibofu na sehemu nyingine za mwili kusababisha matatizo makubwa. kwa wanaotumia kondomo pia unashauriwa kufanya hivo endapo itapasuka sambamba na kusafisha sehemu za uke na uume kwa maji safi na sabuni.
kwa wanaofanya mapenzi ya mdomo(chumvini na kulamba kone) unashauriwa kutoingiza shahawa, maji maji ya uke/ume na damu mdomoni kwani kuna hatari kubwa ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa, ukimwi na hepatitis B.
 
Tumekuelewa dr

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Nimekupata Dr. Lakin kwa wale wanaohitaj kupata mimba wanashaur baada ya tendo wakae at least nusu saa ili sperms ziingie vzr..hapo imekaaje?
 
Vipi kwa wale wanaokunywa maji mengi ili kuzuia mamba ni kweli???
 
Vipi wale wanaokunywa maji baridi Mara tu baada ya tendo ili kuzuia mimbaa
 
Back
Top Bottom