Umuhimu wa Maamuzi ya leo kwenye kesi ya Mbowe na wenzake

Mbowe anatuhumiwa kwa ugaidi lakini mashahidi wote walioletwa hawana concrete ushahidi wa ugaidi aliofanya zaidi ya kubumba bumba tu na kubebwa na JAJI.
 
Hivi wanavyomtesa binadamu mwenzao aliyeumbwa kama wao na ambae hana kosa wanajua huu ukatili na laana hii watailipa wao na watoto wao?
 
Kibaya sana inaonekana ma-jaji tayari wana 'hukumu zao mkononi' ambazo wamekaa na kupanga na waliopika hii kesi.
 
Na kweli kama mahakama ina nia ya kutaka kujua ni kitu gani kipo au hakipo, hata mimi nilidhani ingekubali barua iwe kielelezo ili kujiridhisha ni jambo gani lilitokea siku hiyo. Otherwise, naona kama imejikita kwenye 'technicalities' kwa kuunga mkona pingamizi la upande wa Jamhuri.
 
Hivi wanavyomtesa binadamu mwenzao aliyeumbwa kama wao na ambae hana kosa wanajua huu ukatili na laana hii watailipa wao na watoto wao?
Alipoteswa Sabaya ulikenua meno kwani hakuwa binadamu?

Malipo ni hapa hapa duniani tulia dawa ikuingie.
 
Wapiga kelele tayari wamebwagwa mkuu.
 
Good thinking
 
Watu wanashabikia kesi kama Simba na Yanga hawasomi hoja!
Na hii inafanya mawakili wa utetezi kuendelea kutoa maboko ili washangiliwe!
 
Msengerema huyu
 
Mawakili wa Serikali wamejipanga sana katika kesi hii. Hata kama ni kesi ya kupikwa ila tambua kwamba wamejipanga vilivyo na wanapambana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…