Umuhimu wa madini ya Calcium mwilini

neophyte

Member
Joined
Oct 21, 2018
Posts
79
Reaction score
22
FAHAMU UMUHIMU WA MADINI YA CALCIUM KATIKA MWILI WA BINADAMU.

Madini ya Calcium yanapatikana mwilini ni 2% ya uzito wako. 99% inapatikana kwenye mifupa na meno. Na nyingine inapatikana kwenye nerve cell, damu, body tissues na majimaji ya mwilini.
Ni madini yanayosaidia kuimarisha meno na mifupa lakini pia hufanya kazi zingine kama
*Kusaidia damu kuganda
*transmission of nerve impulses(umeme wa mwilini)
*Kusaidia misuli kufanya kazi
*kuchochea kutoa hormones kama Insulin
* Husaidia kazi za mfumo wa Cardiovascular(moyo)


Bidhaa ya zaminocal ni muhimu kutumika kwa sababu calcium inatabia ya kupungua mwilini siku zinavyokwenda na vyakula vingi na udongo mwingi hauna Calcium ya kutosha.
Inapungua zaidi sababu ya kuzaa, unywaji wa pombe, hedhi, kula vyakula vya sukari sana, matumizi ya Soda, Caffein, uzee, matumizi ya madawa ya antibiotic kama gentamicin and tobramycin.


Zaminocal ina , CALCIUM,AMINO ACID, ZINC

ZINC
Miili yetu ina gram 2-3 za Zinc kwenye skeletal muscles and bones. Pia kwenye figo,Kongosho, Macho-Retina,Meno,Nywele,Kucha,Ngozi, Ini, blood cells, prostate, and testes.


Zinc inatumika katika kazi za cellular metabolism. Inahitajika katika catalytic activity ya zaidi ya enzymes 100 na inafanya kazi katika kinga ya mwili , protein synthesis, kuponya vidonda, DNA synthesis, and mgawanyo wa seli.
Zinc pia inasaidia
ukuwaji mzuri wa mtoto tumboni, akizaliwa na kwa wakubwa husaidia sense ya ladha na harufu.

Dalili za upungufu wa Zinc:
Upungufu wa hamu ya kula,
upungufu wa damu,
vidonda kuchelewa kupona,
-kukatika nywele na kucha


KWA UJUMLA ZAMINOCAL INA UMUHIMU MKUBWA SANA KWA AFYA YANGU NA YAKO

SAMBAZA (SHARE) ILI NA WENGINE WAFAIDIKE
wasilliana nasi kupitia : 0769103506
0621095493

whatsapp: 0769103506
 
 

Attachments

  • IMG-20181020-WA0056.jpg
    33.6 KB · Views: 73
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…