Erick Richard R-Madrid
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 399
- 282
Naomba maelekezo zaidi mkuu.unaweza kuclaim VAT
Sawa Mkuu.Ukishasema TIN inatosha,huhitaji kuandika Number tena.Ni hayo tu.
Naomba maelekezo zaidi mkuu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ukishasema TIN inatosha,huhitaji kuandika Number tena.Ni hayo tu.
Kama ww ni mfanyabiashara na una VAT ..ni muhimu sana ,uwe unanunua mzigo maduka ya watu wenye VAT ..then ukiweka TIN yako ..kila mwezi ukiwa unaandaa VAT return .. zile receipts ulizozikusanya zinakusaidia kupunguza mzigo TRANaomba maelekezo zaidi mkuu.
Asante sana mkuu kwa maelekezo yake atleast nimeanza kupata mwanga kidogo.Kama ww ni mfanyabiashara na una VAT ..ni muhimu sana ,uwe unanunua mzigo maduka ya watu wenye VAT ..then ukiweka TIN yako ..kila mwezi ukiwa unaandaa VAT return .. zile receipts ulizozikusanya zinakusaidia kupunguza mzigo TRA
Lakini ukinunua sehemu ambayo hawana VAT hata hiyo receipt uweke TIN yako inakua haina kazi yoyote
Ninge omba Msaada kidogo kwenye kuelewa suala la VAT. Maana yake na Makato yake yapoje kwa bidhaa.Kama ww ni mfanyabiashara na una VAT ..ni muhimu sana ,uwe unanunua mzigo maduka ya watu wenye VAT ..then ukiweka TIN yako ..kila mwezi ukiwa unaandaa VAT return .. zile receipts ulizozikusanya zinakusaidia kupunguza mzigo TRA
Lakini ukinunua sehemu ambayo hawana VAT hata hiyo receipt uweke TIN yako inakua haina kazi yoyote
Hayo maduka ya wenye VAT, na wao wanapunguzaje mzigo TRA?Kama ww ni mfanyabiashara na una VAT ..ni muhimu sana ,uwe unanunua mzigo maduka ya watu wenye VAT ..then ukiweka TIN yako ..kila mwezi ukiwa unaandaa VAT return .. zile receipts ulizozikusanya zinakusaidia kupunguza mzigo TRA
Lakini ukinunua sehemu ambayo hawana VAT hata hiyo receipt uweke TIN yako inakua haina kazi yoyote
Huko wanapochukulia mzigo nao wanaweka TIN zao ...yan mwendo ni ule ule ...kumbuka hata anayekuuzia naye kuna mahali ananunuaHayo maduka ya wenye VAT, na wao wanapunguzaje mzigo TRA?
sawa mkuuHuko wanapochukulia mzigo nao wanaweka TIN zao ...yan mwendo ni ule ule ...kumbuka hata anayekuuzia naye kuna mahali ananunua
Barabara ya Morogoro RoadUkishasema TIN inatosha,huhitaji kuandika Number tena.Ni hayo tu.
Vipi mkuu kama anaekuuzia analangulia bidhaa zake VietnamHuko wanapochukulia mzigo nao wanaweka TIN zao ...yan mwendo ni ule ule ...kumbuka hata anayekuuzia naye kuna mahali ananunua