Umuhimu wa matiti kwa mwanaume

Hapana iyo statement ni ya ovyo sana mkuu mwanaume matiti ya nini sasa?
 
Kwani wanyama wengine hawana??? Uliwahi kujiuliza umhimu wa nywele kichwani na sehemu zingine zikiwemo za siri??
izooo nlishajiuliza na naelewa kidgo kisayansi kuna mambo ya intergumentary (skin) ko naelewa mkuuu maswala ya dead cells (keratinocyte) ila kuhus iki kiungo tissue titi matiti sjaelewa
 
ahsanthe kwa mchangooo mkuu ila nimesemea upande wa jinsia ya kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…