Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Tumekuwa kama watu wenye homa, hata Asali pia tunaona kuwa ni chungunchi imekosa tumaini
Kwani zamani CCM hakikuwepo?Ni kama hizi sherehe kwa sasa zimepoteza hamasa yake na umuhimu wake kwa watanzania.
Zamani siku kama ya Leo shamrashamra zake zingekuwa kubwa sana.
CCM wameshusha hadhi ya mbio za mwenge, Sasa wameharibu kabisa sherehe adhimu za wafanyakazi.
Zamani haikuwa hivi.Kwani zamani CCM hakikuwepo?
tuuzeni nchi tugawane hela!!..😅Tumekuwa kama watu wenye homa, hata Asali pia tunaona kuwa ni chungu
Hili nalo wazo mujarabu!tuuzeni nchi tugawane hela!!..😅
Nimejua Kitaifa yanafanyika Njombe masaa mawili yaliyopita.Tumekuwa kama watu wenye homa, hata Asali pia tunaona kuwa ni chungu
Wametapeliwa hadi wamekata tamaa!!Enzi zile Mei Mosi ilikuwa ni siku muhimu sana kwa wafanyakazi.
Mimi nimejua baada ya wewe kuandika hapaNimejua Kitaifa yanafanyika Njombe masaa mawili yaliyopita.
Ni kama hizi sherehe kwa sasa zimepoteza hamasa yake na umuhimu wake kwa watanzania.
Zamani siku kama ya Leo shamrashamra zake zingekuwa kubwa sana.
CCM wameshusha hadhi ya mbio za mwenge, Sasa wameharibu kabisa sherehe adhimu za wafanyakazi.
Siku hizi hakuna huruma kazini rushwa imetawala hadi kwenye haki yako ya malipoNi kama hizi sherehe kwa sasa zimepoteza hamasa yake na umuhimu wake kwa watanzania.
Zamani siku kama ya Leo shamrashamra zake zingekuwa kubwa sana.
CCM wameshusha hadhi ya mbio za mwenge, Sasa wameharibu kabisa sherehe adhimu za wafanyakazi.