Ndugu,
Kwa muda mrefu sana masomo kama muziki na sanaa kwa jumla yamepuuzwa sana katika mfumo wetu wa elimu. Wataalamu wa makuzi ya ubongo wanasema kwamba kujifunza kupiga vyombo vya muziki kuna manufaa makubwa sana katika kuboresha utendaji wa ubongo. Tafadhali, jisomee hapa kwenye hii link:
How Playing Music Affects The Developing Brain | CommonHealth
Ooops! Makala yenyewe imeandikwa kwa Kiingereza. Nami sijapata muda wa kutafsiri au kutengeneza muhutasari kwa Kiswahili.