Ndugu,
Kwa muda mrefu sana masomo kama muziki na sanaa kwa jumla yamepuuzwa sana katika mfumo wetu wa elimu. Wataalamu wa makuzi ya ubongo wanasema kwamba kujifunza kupiga vyombo vya muziki kuna manufaa makubwa sana katika kuboresha utendaji wa ubongo. Tafadhali, jisomee hapa kwenye hii link: