Umuhimu wa mwenge VS gharama unazotumia kuukimbiza

Umuhimu wa mwenge VS gharama unazotumia kuukimbiza

chan lee

Senior Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
149
Reaction score
41
Naomba nieleweshwe hapo kdogo maana toka ninakua ninaona na kusikia mbio za mwenge tz na zinatumia gharama nyingi sana za kodi ya wananchi huku faida ikiwa ni kuzindua miradi na viongozi nao wanazindua miradi hiyo hiyo ! Dhumuni halisi la mwenge ni nini hasa kwa dunia ya leo!?
 
Back
Top Bottom