Naomba nieleweshwe hapo kdogo maana toka ninakua ninaona na kusikia mbio za mwenge tz na zinatumia gharama nyingi sana za kodi ya wananchi huku faida ikiwa ni kuzindua miradi na viongozi nao wanazindua miradi hiyo hiyo ! Dhumuni halisi la mwenge ni nini hasa kwa dunia ya leo!?