Umuhimu wa nywele sehemu za siri ni upi?

Sputnik_1

Member
Joined
Jul 16, 2018
Posts
47
Reaction score
60
Habari zenu.

Mimi naombeni msaada mwenye kujua zaidi kazi ya nywele katika sehemu za siri ni nini. Hasa pubic hair kazi yake kuu ni nini maana hata uliyatoa hamna madhara.

Nimefanya kuangalia google ila sijaridhika na majibu kuwa ni kuzuia baadhi ya germs maeneo hayo.
Ni aibu kwa umri wangu wa mtu mzima, nina hizo nywele ila sijui kazi yake.
 
Last edited by a moderator:
Hivi kama mwanamke ametembea na wanaume wengi, bado tunaweza kusema ana sehemu za siri?
 
1. Zina'stimu ukizishika hasa za mwenzio..(romance)
2. Ukipenda kuzitoa na kuacha kipara .. Watoto utakaowapata akili zitakuwa ndogo.
3. Zinakushawishi ununue chupi au boxer mpya.
Mkuu umenifurahisha😀
 
'By nature' binadamu ni mnyama na aliumbwa uchi na alianza kuishi uchi kabla hajagundua mavazi, kwa hiyo hizo nywele zilimsetiri uchi wake kabla hajagundua mavazi.
Hakuna sehemu, kanuni ya maumbile inayoyatambua mavazi. Kwa hiyo mavazi yamebuniwa na binadamu ili kujisetiri. Baada ya kugunduliwa mavazi, hizo nywele zimebaki kuwa ni mapambo tu kwa wanaopendelea, kama zilivyo kucha. Maana kucha za binadamu siyo imara kuparuria adui ama kuchimbia mashimo, ni mapambo tu.
Kazi nyingine ya hizo nywele ambayo pia si muhimu ni kuzuia msuguano wa ngozi, hasa wakati wa "shughuli pevu" maana saazingine huwepo misuguano ya ridhaa na furaha ambayo huweza kuacha michubuko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…