Umuhimu wa Protein Kwa Mama Mjamzito

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363



Protein ni muhimu mno kwa ujengaji wa mwili wa mama na wa mtoto. Katika trimester ya pili na

tatu(miezi ya tatu ya pili na ya mwisho) mtoto anakuwa kwa kiasi kikubwa sana na ni katika kipindi

hiki mama asipopata protein ya kutosha basi mwili utafanya kazi kubwa na kuathirika.


Katika trimester ya kwanza na pili mama anahitaji 60 - 80gms za protein kila siku hii huongezeka

mpaka 80 - 100 gms katika trimester ya tatu.

Kuna vyakula vingi sana vyenye protein kwahiyo huwezi kuboreka na kukosa choice ya vyakula.

Chini ni mifano ya vyakula vya Protein na kiwango cha Protein ili kukusaidia kujua jinsi ya

kutosheleza mahitaji yako ya protein ya kila siku.


Vyakula vyenye asilimia kubwa ya Protein


Mifano ya vyakula vyenye gram 20 ya protein katika makundi mbali mbali.

Maharage, Jamii ya kunde na Karanga

3oz Karanga

Kikombe kimoja na nusu cha maharage yaliyopikwa

Maziwa, jamii ya maziwa na mtindi

2/3 kikombe cha cottage cheese

Vikombe viwili vya mtindi

3oz ya aina nyingine za cheese/jibini kama swiss, cheddar

2oz cheese aina ya parmesan

Mayai matatu

Glass mbili na nusu ya maziwa

Nyama na Samaki

3oz, nyama aina ya kuku, ya ngombe, mbuzi, nguruwe, turkey

3oz samaki aina ya salmon, trout tilapia

Shrimp/kamba wakubwa 17 au kikombe kimoja na nusu cha shrimp wadogo

31/2 nyama ya lobster, crab
 
vipi kwa wale wanaotapika miezi yote tisa wanasaidikaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…