Umuhimu wa safari za Uhuru Jamaica na Barbados vs Hali ya uchumi wa Kenya

Ni tatizo maana unayoyaleta hapa ni porojo tu,huna facts before president makes a foreign trip inakuaga imefanyiwa research na imeonesha kua ina manufaa Kwa taifa na ndio maana pia wanateuliwa specific people from specific ministries to accompany the president.
 
Vipi kuhusu kukodi ndege ya kifahari kwa gharama kubwa, wakati KQ inazo ndege za kutosha zinazotafuta safari zenye faida kubwa kama hizi?, pesa iliyotumika kulilipa hilo kampuni lenye hiyo ndege "Gulfstream G450", zingetosha kulipa mishaara ya wafanyakazi wote wa KQ kwa miezi miwili.
 
Watch from 3:40
Bajeti ambayo Uhuru ameitumia kwenda jameica na Barbados isikutie kiwewe kumbuka jameica na Barbados ni nchi za wafirika ambazo zipo mbali Sana na bara letu na kumualikwa Rais wa kiafrika ambaye ametoka bara la wafirika linawatia moyo na kuwafanya wahisi kua walikotoka mababu zao wapo watu ambao wanawaona na kuwathamini kama ndugu zao isitoshe Kenya ni nchi tajiri ukanda huu na moja ya nchi tajiri katika bara hili,kama Sisi walipa ushuru hatuteti mbona wewe utete ilihali halikuhusu sikio wala ndewe.
 
Umeambiwa wafanyikazi wa KQ wanalipwa Kwa bajeti ya ikulu? Pilipili shambani babu nyumbani wawashwa na nini?.
 
Unafikiria KQ ni ya kijamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…