fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Ni muhimu sana kwa mke na mme kuwa wabunifu kwenye sex kila siku kwa kuzingatia yafuatayo:
1.maandalizi ya sex yaanze mara tu mnapoaganabkwenda makazini
2.amsha amsha ya sex iwe inaendelea baina yenu mnapokuwa makazini kwenu
3.kutafutiana vizawadi vya kuamsha hamasa ya sex baina yenu
4.Kuahidiana kuwa gemu itakuwa kalino mkirejea home
5.kusoma vitabu kadhaa wa kadhaa juu ya somo la mapenzi
Hatua hizo zitapandisha mapenzi baina yenu na kuifanya ndoa kuwa tamu kila siku