JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Huwa ni msingi wa haki nyingine za kibinadamu.Ikiwa watu wana uhuru wa kujieleza wanaweza kusema pale haki zao nyingine zinapovunjwa na kuwawajibisha wavunja haki
Uhuru wa kujieleza husaidia vyombo vya habari kuupa Umma taarifa muhimu kuhusu mambo yanayoendelea kwenye jamii yao
Huwapa Wananchi nafasi ya kushiriki kwenye Demokrasia kama vile Uchaguzi. Vyombo vya habari vinaweza kutoa taarifa kuhusu wagombea ili wapiga Kura waweze kufanya maamuzi wakiwa na ufahamu mzuri
Upvote
0