ERIC JOSEPH
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 567
- 55
vp wewe bado?unashasurije?
yaani hapo umeongea ndugu yangu, halafu watanzania wengine wanapoona watu wanajituma na wanafanya kazi wao ni pararira tu na uchochezi wa mambo badala wajifunze na wao wafanye vipi ili watoke wamekalia unafiki tu kama jamaa mmoja ipo siku nitamuweka wazi aache majungu anatakiwa afanye kazi na awe na wivu wa kimaendeleo sio unafikiMbona hujaongea chochote kuhusiana na ujasiriamali hapo? Sioni uhusiano wa moja kwa moja katika ya maandiko yako na title ya hii thread.