UMUHIMU WA WAMASAI NGORONGORO NA SERENGETI

UMUHIMU WA WAMASAI NGORONGORO NA SERENGETI

Madwari Madwari

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
1,825
Reaction score
3,085
Hii video inamuonyesha mztaliii Ari Smith kutoka marekani akijifunza utamaduni wa wamasai akiwa akatika hifadhi zetu. Utalii wa vitu pekee hautoshi, unahitajika pia utalii wa utamaduni. Morroco ni nchi ambayo inapokea watalii wengi hawana mbuga lakini wanavutiwa na utamaduni wao.

View: https://youtu.be/Y_Od1T_Glgo
 

Attachments

  • rapidsave.com_american_polyglot_surprises_african_warrior_tribe-lfe6hux2k7ac1.mp4
    18.5 MB
Back
Top Bottom