Hii video inamuonyesha mztaliii Ari Smith kutoka marekani akijifunza utamaduni wa wamasai akiwa akatika hifadhi zetu. Utalii wa vitu pekee hautoshi, unahitajika pia utalii wa utamaduni. Morroco ni nchi ambayo inapokea watalii wengi hawana mbuga lakini wanavutiwa na utamaduni wao. View: https://youtu.be/Y_Od1T_Glgo