Umeniwahi dokta. Nizikwe na mtu mmoja au na dunia nzima kama alivyozikwa Mandela mi inanisaidia nini? I am dead!
Watu wamegeuza misiba sasa kuwa sehemu ya kujionyesha na kuzidiana idadi ya waombolezaji.
Kwa upande wangu hata wanitupe porini niliwe na wanyama haitaniathiri cho chote as long as I am not there.
When I am alive, my death is not. When my death is "alive", I am not. So ngoma droo!
Na kwa hili nawapenda sana Waislamu. Unakata moto sasa hivi saa saba mchana ushazikwa tena kwenye mkeka tu bila mbwembwe za kuwekwa kwenye sanduku la mamilioni, maua, kwaya na utopolo mwingine