Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Siku utakapotambua kuwa pesa hazimziki mtu ndiyo utakapojua thamani ya watu,
Tuishi kwa kupendana na kuheshimiana LIFE HAS NO FORMULA
Kabisa kabisaHakuna mtu alikosa wa kumzika, tena ni bora ukiliwa na wanyama pori au samaki kuliko hao funza na nyenyere.
π€£π€£π€£Umekunywa chai mkuu?
Hoja muruwa.Hata watu wakikuzika, wewe unafaidika nini? Utaliwa na funza, utaoza na hakuna maumivu yeyote.
Hata mzoga wako uliwe na wanyama wa porini au mbwa na nguruwe, ni sawa tu na aliyezikwa na watu.
Tuishi kwa kupendana kwa sababu tunahitajiana katika maisha. Si kwa sababu tutazikana.
Utakosa wa kukuuguza au kukudhamini Polisi au mahakamani lakini hutakosa wa kukuzika.Hakuna mtu alikosa wa kumzika, tena ni bora ukiliwa na wanyama pori au samaki kuliko hao funza na nyenyere.
πππUmeniwahi dokta. Nizikwe na mtu mmoja au na dunia nzima kama alivyozikwa Mandela mi inanisaidia nini? I am dead!
Watu wamegeuza misiba sasa kuwa sehemu ya kujionyesha na kuzidiana idadi ya waombolezaji.
Kwa upande wangu hata wanitupe porini niliwe na wanyama haitaniathiri cho chote as long as I am not there.
When I am alive, my death is not. When my death is "alive", I am not. So ngoma droo!
Na kwa hili nawapenda sana Waislamu. Unakata moto sasa hivi saa saba mchana ushazikwa tena kwenye mkeka tu bila mbwembwe za kuwekwa kwenye sanduku la mamilioni, maua, kwaya na utopolo mwingine
Acha uongo wewe, ukiamua pesa ikuzike inawezekana. Ni huku tu bongo ila kwa wenzetu kuna kampuni za mazishi zinasimamia kila kitu hadi kukuzika...hatq majirani msipokuja mtu anazikwa.Siku utakapotambua kuwa pesa hazimziki mtu ndiyo utakapojua thamani ya watu,
Tuishi kwa kupendana na kuheshimiana LIFE HAS NO FORMULA