Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Yai nililo kusudia ni yai la kuku wa kienyeji sio yai la dukani halina faida yoyote ile.Mkuu haya mayai ya wiki mbili yanafaa?
Unaweza kuchanganya Yai hilo moja la kuku wa kienyeji na vyakula vingine sio mbaya .inafaa kula pekee au waweza changanya na vitafunwa vngne?
UMUHIMU WA YAI KAMA KIFUNGUA KINYWA
YAI MOJA LAFAA SANA KUKUEPUSHA NA MAGONJWA YA MOYO NA KIHARUSI
KULA YAI MOJA LA KUCHEMSHA KILA SIKU,USIZIDISHE MAANA MAYAI YANA KALORIES NYINGI SANA.