Fake
Member
- Oct 10, 2018
- 93
- 53
Imekuwa Kawaida wa mama wengi wajawazito nchini Tanzania na Duniani kutokuwa na wamama wasindikizaji hasa wakati wa kujifungua bila kujua faida za kuwa nao,ko zifuatazo Ni baadhi ya faida za kuwa na wamama wasindikizaji wakati wakujifungua kama vile;
01)Hupunguza msongo wa mawazo:uwepo wa mama msindikizaji huleta faraja kwa mjamzito kwa kutiwa Moto na kupunguza msongo wa mawazo.Huleta raha zaidi pale anapo sikia maneno ya faraja kutoka kwa mtu wake wa karibu aliye mchagua yeye mwenyewe.
02)Husaidia kupungua kwa uchungu: wataalamu wamethibitisha kuwa;maumivu upungua zaidi pale unapo fahamu kuwa,Kuna mtu wakukusaidia unaye mwamini katika kipindi chote Cha ujauzito na wakati wa kujifungua.
03) Husaidia katika ufanyaji wa maamuzi ya haraka ya nini kifanyike KUMSAIDIA mama na mtoto pindi dharura ijitokezapo:kwa kuwa Ni vyema kwa kuwa na mama msindikizaji aliye kwisha wahi kujifungua na anaye mfahamu vizuri mjamzito,hali hi hurahisisha ufanyajia wa maamuzi ya haraka wakati yanapo hitajika.
04)Hurahisisha mawasiliano ya haraka Kati ya mjamzito na wahudumu katika kituo Cha kutolea huduma za afya: Wakati mwingine Ni vigumu kwa mjamzito kuomba msaada na kuupata kwa haraka,uwepo wa mama msindikizaji Ni muhimu pindi msaada unapo hitajika.
05) Husaidia shughuli zisizokuwa za kitaalamu zinazo fanywa na watoa husuma za afya:Mama msindikizaji anapopata mafunzo ya kutosha kuhusu jinsi ya kumsaidia mjamzito,yeye pia huwa msaidizi mkubwa wa shughuli zinazohitaji utaalamu endapo wahudumu wa afya watahitaji msaada wa haraka kwa ajili ya kuokoa maisha ya mama na mtoto.
06)Usalama wa siri za mjamzito:kumchagua mtu mzoefu,muaminifu na mwenye upendo kwa mjamzito katika kipindi Cha ujauzito na wakati wakujifungua.huleta amani kwa mjamzito kwani huwa na uhakika wa Usalama wa siri zake zote Kama mwanamke na mama mtarajiwa.
N•B; wenye wake na wanaotarajia kuwa na wake au wanawake na wahasa mfanye na kufuata huu utaratibu kwa umuhimu wake kiumbe kilicho tumboni.