N nine8six New Member Joined Nov 19, 2024 Posts 1 Reaction score 0 Nov 19, 2024 #1 Je, wananchi wanapaswa kutambua mounekano halisi wa vitambulisho vya jeshi la Polisi ili kuepuka hatari ya kutekwa na watu wasio julikana. Swali vitambulisho hivyo vinaonekanaje kwa mfano wa picha?
Je, wananchi wanapaswa kutambua mounekano halisi wa vitambulisho vya jeshi la Polisi ili kuepuka hatari ya kutekwa na watu wasio julikana. Swali vitambulisho hivyo vinaonekanaje kwa mfano wa picha?