golwebo_mkuu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 2,270
- 693
Habari zenu wanaJF......
hivi mtu unajisikiaje unapomuona mpenz wako wa zamani akiwa na mpenz mpya?
how does it feel to let go? my ex can't let go, she's still on my back and sometimes very disturbing too. it's been two years and time has not healed or mended her heart....what must i do to take her off my back?
<br />Habari zenu wanaJF......<br />
hivi mtu unajisikiaje unapomuona mpenz wako wa zamani akiwa na mpenz mpya? <br />
how does it feel to let go? my ex can't let go, she's still on my back and sometimes very disturbing too. it's been two years and time has not healed or mended her heart....what must i do to take her off my back?
Kitty unasema tu hayajakukuta ndugu yanguni kujiendekeza tu, kama imeisha unatakiwa kukubali, maisha lazima yaendelee, ina maana ndani ya miaka miwili yeye hajapata mtu mpaka leo?
Kitty unasema tu hayajakukuta ndugu yangu
Mkuu!
Nilikuwa na GF na mimi nikaja nikambwaga, alinitukana matusi ya aina zote akakaa. Baada ya muda akawa ananitumie sms akijifanya kama amekosea namba, kwa kuwa mimi ni mwanaume sikuendekeza visasi nikawa na respond tu,
Baada ya kupata GF mpya aliendelea kuwa anaendeleza mawasiliano nikamwambia nina GF mpya please punguza spidi, akaanza tena matusi yake ikabidi nimkabidhi GF wangu mpya namba ya simu wakamalizana japo walirushiana maneno.
Yule GF wa mwanzo hajakata tamaa bado anawasiliana na mimi na kwa kuwa GF wangu wa sasa yupo chuo nachat nae ex GF, lakini nikaja kufikiria italeta shida nikamwambia GF wangu kuhusu ex GF wangu,n tukakubaliana awe rafiki yetu wa kawaida na mambo yanaenda poa sasa!
Tatizo ni kwa GF wangu wa sasa ananikera sana sometimes huwa anamsifia ex BF wake au huwa ananiita jina la ex BF wake hapa huwa ananiudhi sana.
That's my expression!
Hiyo ni common ndugu yangu,its been one year toka niachane na ex wangu ila juzi kati nilimuona na mshkaji karoho kakaniuma ingawa na miye nina wangu.mi nadhani inategemea mlikuwa close kiasi gani.unajua unapopenda kuna sehemu ya roho yako inahamia kwake na ya kwake inahamia kwako ndo maana saa nyingine huwa unajua mwenza wako anawaza nini hata kabla hajakiongea.we mwache tu baadaye atakusahau ila mwambie huo upumbavu wake wa message za mapenzi aache akitaka atume ya kukupa hi tu
asee kuwa makini, inawezekana wameachana lakini bado kiaina wanagusa gusa....huyu ex wangu anasema hatoacha kunisumbua mpaka askie nimeoa ndo ataacha vinginevyo ataendelea tu labda tutarudiana. so, learn from thatduh! Sasa mi nna same problem ila gf wangu yuko obsessed na ex wake sometym hadi anakosea jina, ingawa anadai anamchukia coz alikuwa anamistreat na anadai kwangu ndo kuna fika l, ila mi nilikuwa naipotezea tu nimeiona hii post nkahisi kumbe inaweza hiyo pia ikawa issue si eti eeeh!