Umuonapo ex wako na mpenzi mpya

inategemea alikuwa close kiasi gani wakati uleee tulipokuwa pamoja

tulikuwa close kwa sana, mambo niliyomfanyia nadhani bado anayaota akilala.....nilitaka kumuoa akaleta pozi, nilimpenda sana lakini akawa ananiletea za kisista duu na hakujua thamani ya penz.
sasa tumeachana ndo akajua thaman ya penz.
 

just imagine seeing your new lover with her ex, then you'll contemplate better what to do with your ex!
 
Roho huwa inaniuma, zaidi nikumbukapo mambo tuliyofanya pamoja! XWANGU HUWA NAMKUMBUKA WAKATI MWINGINE.
 

Mkuu Manyanza umenichekeshsa sana,
Yaani unaitwa jina la ex wa Bf wako???
Ah haya mambo bwana... ni soo!
Binafsi suala la Ex wangu ni tete kidogo,
Ye alitangaza kuniacha kwamba hana tena feelings na mimi,
Lakini saiv kutwa anataka kuchat, mara kuomba movie,
Mara kumtafutia gift binti yangu pale home,
Nadhani siku akijua nina mchumba mwingine atajinyea,
Ila nadhani hata mimi nikija kuja anamtu mwingine, nitaumia kidogo.
 
mkuu hii ni so wengi hawakubali matokeo na ukitaka vita isiyoisha we tangaza kusitisha uhusiano kifuatacho itv ni matuc, kejeli, dharau magomvi , kashfya alafu baadae anakwambia nisamehe bado nakupenda nitajirekebisha ni shetani kanipitia ukimwambia upo sirious umtaki tena anaanza tena moja
 

yani kama ulikuwepo vile.
 
sasa na pesa za watu si unarudisha!na inategemea kama ni mke kuna process za kuachana .coz kama ni mke na mlichuma pamoja anastahili kabisa mgawane kile mlichochuma.
 
Wandugu wapendwa, hii yote ni kudhiirisha kuwa siku hizi hakuna u gf au u bf wa halali kutokana na kwamba kila anayeanza uhusiano mpya akiwa ameacha wa zamani lazima yatamtokea haya. KUMBUKA SI NYAKATI ZOTE MLIKUWA MNAGOMBANA kuna zile happy moments na ambazo ni nyingi kuliko sad moments zenu, hivyo mnapoachana mkakaa mbali mbali kuna tendence ya ku re call mazuri ya mtu na wakati mwingine kum compare na huyu wa sasa na kuona kumbe yule alikuwa better.Lazima utafanya kila mbinu ya kutaka kurekebisha makosa, na by so doing utamu offend uliye naye wakati huo.

Ushauri wangu ni kwamba kila anayeachana na mpenzi wake wa kwanza ajitahidi ku make up warudiane kuliko kutumia muda huo kutafuta mpya.
NI MTIZAMO TU WAKUU!
 
si kila wanaopendana were meant to live together,
wakat wa u bf/gf ndo kipind cha kuelewana na kuangalia kama mtaweza kuishi pamoja katika ndoa (kwa nionavyo)
sasa ikitokea mmeachana kwa kushindana mambo flan flan ni dhahir you two were not meant to last......
watu walio kwenye ndoa, naamini wanao watu wengine wanaowapenda zaid kuliko mke/mme aliye naye ila kwa sababu
mbalimbali walishindana ingawa wanapendana. kwenye ndoa hamna majaribio
 
It feels better to see she has moved on................................
 
Nakuonea huruma, wakati unajitahidi kumwonyesha mpenzi wako kuwa umeachaa na yule wa zamani, yeye yuko bize kumkumbuka wa kwake, maisha haya wajameni muwe waangalifu unaweza ruka mkojo ukakanyaga mav... but it seems uko honest sana kwenye uhusiano
 
unajua kuna wakati mpaka unampigia kelele kwamba "SIKUTAKIII"....lakini wapi kesho atakutumia meseji ya mapenz.


...Ngumu sana kuelewa. Omba mungu ayapishilie mbali.
Siku moja utapokuja ambiwa hutakiwi ilhali wewe 'ushafika,' ndipo utaelewa.
 
Reactions: BAK
hainihusu waendelee tu na mapenzi yao
 
huyo dada,haijaikubali hali ya kuwa hampo pamoja.sijui mliachana vipi,maybe anakumbuka mazuri uliyomfanyia,na kama ana uhusiano mwengine,anaona bora wewe kuliko huyo mpya.kuwa makini pengine anataka kukuharibia anahisi maybe una furaha na huyo mpenzi wako mwengine
 
Jinsi nilivyofika kwa huyu kaka, hata huwa simfikirii, sasa sijui nikimwona na mtu wake nitajisikiaje
 
so lame!!,tamaa tu hizo,umezaa nae!?kama sivyo then wee u ar simply lame dude and its seems ulie nae hafikii level za uliebreak up nae. .then fanya mpango grab awesome chik then u wil see kama utamkumbuka.
 
unawaangalia basi na kuwatakia maisha mema na wewe si ume move on? kwa nn uone wivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…