Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endodontic therapy:maumivu ya jino ni makali sana,jino linalouma ni la mbele ambalo niliwahi kuliziba.Nisaidieni tiba za asili kwa maana huenda itasaidia kuponyesha,kung'oa jino la mbele yahitaji moyo,natanguliza Shukran zangu kwenu nyote
Sikio ni habari nyingine kabisa hata jino pia na mwisho wa yote dawa ya jino n kulitoa tuHujaumwa SIKIO,hujaumwa KIDOLE aka MDUDU.
Hujaumwa TUMBO
Unayajua maumivu ya kuumwa pumbu? Wee omba tu msaada wa matibabu, usifananishe maumivu ya viungomaumivu ya jino ni makali sana,jino linalouma ni la mbele ambalo niliwahi kuliziba.Nisaidieni tiba za asili kwa maana huenda itasaidia kuponyesha,kung'oa jino la mbele yahitaji moyo,natanguliza Shukran zangu kwenu nyote
sio kweli, hakuna gonjwa lilokuwa nafuu., ugonjwa wowote ukikukamata sawa sawa, maumivu yanakuwa makalimaumivu ya jino ni makali sana,jino linalouma ni la mbele ambalo niliwahi kuliziba.Nisaidieni tiba za asili kwa maana huenda itasaidia kuponyesha,kung'oa jino la mbele yahitaji moyo,natanguliza Shukran zangu kwenu nyote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sikio ni habari nyingine kabisa hata jino pia na mwisho wa yote dawa ya jino n kulitoa tu
Ahsante kwa mchango wakoKumbe huitaji kulitoa..! sasa pambana na hali yako..!
Miminiliwah umwa jino nakumbuka nilikua pera ile tumba ya pera ikanasa kwenye jino kuhangaika kuichokoa itoke ikamegua na kipande cha jino baada ya siku mbili likaanza kuuma sikutaka habari inginenikalitoa sikio nalo lilifanya kidonda jamani aheri maumivu ya jino [emoji85] [emoji85] silali usiku kucha had swalaa mimi ndio nalala nalia nimeweka dawa zote nakumbuka nikaambiwa had perfume nikaspray huko hospital nimechomwa sindano hata kumi zinafika nina kazi ya kuzibadili leo huku kesho kule mwisho nikaambiwa nipigwe bomba ndio pona yangu had leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 645677
Madame,wataalam wa afya ya Kinywa kwa miaka ya karibuni wamekuwa wakishaur watu wasing'oe meno yanapouma hadi ITAKAPOBIDI.
Kwa maendeleo ya sasa wanaweza kulisafisha na wakaliziba,labda kama liwe limechakaa sana ndo watalitoa.
Nili experience hili MUHIMBILI
Nenda hospitali ya menomaumivu ya jino ni makali sana,jino linalouma ni la mbele ambalo niliwahi kuliziba.Nisaidieni tiba za asili kwa maana huenda itasaidia kuponyesha,kung'oa jino la mbele yahitaji moyo,natanguliza Shukran zangu kwenu nyote
Pole sana,Miminiliwah umwa jino nakumbuka nilikua pera ile tumba ya pera ikanasa kwenye jino kuhangaika kuichokoa itoke ikamegua na kipande cha jino baada ya siku mbili likaanza kuuma sikutaka habari inginenikalitoa sikio nalo lilifanya kidonda jamani aheri maumivu ya jino [emoji85] [emoji85] silali usiku kucha had swalaa mimi ndio nalala nalia nimeweka dawa zote nakumbuka nikaambiwa had perfume nikaspray huko hospital nimechomwa sindano hata kumi zinafika nina kazi ya kuzibadili leo huku kesho kule mwisho nikaambiwa nipigwe bomba ndio pona yangu had leo
Asante mkuu nakumbuka dawa ya sikio nilikosa ni bangi kuna mtu alinambia ukipata bangi mbichi uweke maji yake shida ikaja ntapata wapi bangi[emoji23] [emoji23] [emoji23] yan nilikuankama mjinga ninachoambiwa nipate ile relief sikio linauma jamani khaa na mwili wabinadam hauna shirika ukiumwa sikio jino had kichwa chote unaona sio chakoPole sana,
Maumivu ya Jino,sikio,MDUDU kwenye kidole,Jipu haya huwa ni usiku hadi ALFAJIRI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Tumia dawa ya meno na mswaki kusafisha meno kila baada ya mlomaumivu ya jino ni makali sana,jino linalouma ni la mbele ambalo niliwahi kuliziba.Nisaidieni tiba za asili kwa maana huenda itasaidia kuponyesha,kung'oa jino la mbele yahitaji moyo,natanguliza Shukran zangu kwenu nyote