umwa vyote lakini siyo jino,msaada wa dharura anayejua tiba ya asili ya jino


Madame S ulipigwa bomba?
 
M
 
Mkuu, kojoa mkojo wako asubuhi ukiwa fresh kabisa, weka kwenye chombo safi then sukutua mdomoni kila siku asubuhi...
Kila siku mkojo fresh, sukutua kwa siku 3, utasahau maumivu ya jino.
MKUU WE SIO MTU WA MARA YA KWANZA KUSEMA HILI HATA MAMA YANGU MZAZI ALIWAHINIAMBIA KUHUSU HII TIBA ILA UKAIDI WANGU NA KUJIFANYA KUCHAGUA DAWA ILA NIMEAMINI DAWA NI DAWA.
Nitatoa mrejesho wa Dawa pale nitakapo pona, hii naanza kuifanyia kazi.
 
Usifananishe ugonjwa, nakumbuka nilipatwa na haemorrhoids(bawasiri) sitakaa nisahau yale maumivu tena kipindi hicho namaliza paper ya form 4 chemistry practical niliteseka kupita kiasi hadi homa nikapata choon ukienda ni mateso makubwa sana, kukaa unakaa kwa shida daa had kupona nilihangaika sana
 
maumivu ya jino ni makali sana,jino linalouma ni la mbele ambalo niliwahi kuliziba.Nisaidieni tiba za asili kwa maana huenda itasaidia kuponyesha,kung'oa jino la mbele yahitaji moyo,natanguliza Shukran zangu kwenu nyote
Dawa ya kusukutua vigor doctor ndiyo hyo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…