Umwagiliaji usiotumia Nishati yoyote

Umwagiliaji usiotumia Nishati yoyote

Lasma1922

Member
Joined
Mar 23, 2023
Posts
38
Reaction score
59
Nimeona clips nyingi sana YouTube ambapo wenzetu wanavuta maji kutoka kwenye visima na mabwawa bila kutumia nishati ya aina yoyote, na tuna mpango wa kujaribu hapa chuo cha SUA.

Nlitaka nipate mawazo yenu kama kuna mtu alijaribu huu mfumo changamoto zake zilikuwa wapi na kama alifanikiwa ni kwa kiwango gani.
 
Unaposema bila nishati fafanua zaidi. Maana njia mojawapo. Ninayojua ni kutumia mfereji ambapo chanzo kinakuwa uwanda wa juu na shamba uwanda wa chini. Fafanua vizuri kitu unachotaka ili ueleweke na ueleze chanzo kina urefu gani. Maana hata kwa ipo nguvu inayosababishwa na maji yenyewe na mteremko.
 
Nimeona clips nyingi sana YouTube ambapo wenzetu wanavuta maji kutoka kwenye visima na mabwawa bila kutumia nishati ya aina yoyote, na tuna mpango wa kujaribu hapa chuo cha SUA.

Nlitaka nipate mawazo yenu kama kuna mtu alijaribu huu mfumo changamoto zake zilikuwa wapi na kama alifanikiwa ni kwa kiwango gani.
How can this be possible. Uvute maji kwenye kisima au bwawa bila nishati ya aina yoyote. Kama yanavutwa tayari Pana nishati hapo.

Labda zungumzia Yale yanayotumia gravity Kwa gradient yake. Kutoka mlimani kuja bondeni.
 
Nenda hombolo dodoma Kuna mifereji ya kunyeshea zabibu ilijengwa na wakoloni ndo utajua hilo Jambo linawezekana
 
Mabingwa wa sayans hiyo ni wamatengo kutoka songea mbinga wenye utaalam wa kupandisha maji kutoka bonden kwenda mliman bila nishati! Fatilia hiyo kitu Kwa hao wakulima wa kahawa,, Dunia Ina mengi tembea uyaone
 
Back
Top Bottom