How can this be possible. Uvute maji kwenye kisima au bwawa bila nishati ya aina yoyote. Kama yanavutwa tayari Pana nishati hapo.Nimeona clips nyingi sana YouTube ambapo wenzetu wanavuta maji kutoka kwenye visima na mabwawa bila kutumia nishati ya aina yoyote, na tuna mpango wa kujaribu hapa chuo cha SUA.
Nlitaka nipate mawazo yenu kama kuna mtu alijaribu huu mfumo changamoto zake zilikuwa wapi na kama alifanikiwa ni kwa kiwango gani.
Zinaitwa windmill for a reason...zinatumia nishati ya wind plus some physics kupata mechanical energy ya kutembeza hizo pumps!Windmill water pump