UN haina vipengele katika " kanunu" zao za kutukamatia mafisadi ....?

UN haina vipengele katika " kanunu" zao za kutukamatia mafisadi ....?

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
25,225
Reaction score
25,488
UN(Umoja wa mataifa) haina vipengele katika " kanuni" zao za kutukamatia mafisadi ....?Nimeuliza Swali hili baada ya kugundua kuwa UN iliweza kuanzisha mahakama maalum kwa ajili ya Sierra Leone kutokana na Almasi za damu (EconomicPolicyJournal.com: The 'Blood Diamond' Hoax, Liberia as a Parlor Game and You)
WanaJF ambao mtakuwa mmepitia makabrasha ya UN, kuna vifungu mmevigudua ambavyo vinaweza kusaidia kutukamatia mafisadi "of highest rank" wa hapa nchini ambao inaonekana wako juu ya sheria zetu !?
 
Back
Top Bottom