Aksante juzi nikua ktk interviw yao.
<br />Aksante juzi nikua ktk interviw yao.
Ndugu zangu watanzania mlioko Tanzania na kwingineko nawaomba kazi hizi nikwa ajili yenu tumeni maombi msiogopetusiwaachie wanaigeria na watu wa west africa tu jiteteeni inashangaza ukienda nje watanzania niwachache kwenye chombo hiki cha un jamani amkeni changamkieni hizi nafasi na wapenda woteNachokijua lazima mlete feedback!!Msiniangushe! link hii hapa chini.
https://careers.un.org/lbw/home.aspx?viewtype=SJ&vacancy=All
UNDP in Tanzania -Vacancies and Consultancies
mpya mnaopenda kuitwa boss karibu hapo!
Sikweli naona umeamua kunichafua usikatishe tamaa wenye kuhitaji!!Kweli ni wewe pekeyako umeona kam ya mwaka jana??tafuta kazi i click yheni itakupeleka katika galax vacance Compendium ndipo kuna kilakitu jisi yakutuma!Na namda ilipotolewa.Muzee mbona hiyo linki ya pili kama kazi za mwaka jana vile....Senksi anyway!