Sidhani kama kulikuwa na haja ya kuanzisha hii post leo kwa maana hiyo report ipo humuhumu kwenye jukwaa la siasa tangu juzi inajadiliwa. Tusiwe wavivu wa kuperuzi kabla ya kupost thread mpyaWakuu naombeni iwekeni hapa javini hiyo ripoti maana binafsi sijapata kuiona na kuipitia
Habari wana jamii!
Mimi ninataka kupata maoni ya wadau kuhusu report ya UN kuihusisha Tanzania na upitishaji wa silaha kwenda DRC, nimeiosma ile document kwa makini sana, kwa maoni yangu ninafikiri kwamba Serikali ingefanya uchunguzi kwanza wa watu waliohusishwa na sakata hilo kabla haijakurupuka kukarusha, maana inaonyesha kunaushahidi kuwa kutosha kuihusisha na skata hilo, ingawaji inaonyesha wahusika walikuwa wakilifanya hili kibinafsi zaidi, na kama ikithibitika wapfikishwe kwenye vyombo vya sheria.
Alex
Wakuu naombeni iwekeni hapa javini hiyo ripoti maana binafsi sijapata kuiona na kuipitia
iyo report ingewekwa wazi ingesaidia kuondoa utata kwani kuuza silaha ni jambo rahisi ktk maeneo ya kongo,burundi,tanzania na rwanda mipakani kwani kuna siraha nyingi ziko loose, izo siraha wanazozitumia mainly ni AK 47, hizi powerful war wepon zinapatikana kwa urahisi sana ktk maeneo hayo, infact kila mwankijiji anayo kujilinda maana in those areas people are virtually in un announced war btn each other and robberers who have these riffles in abundant, kutokua na AK 47 maeneo hayo ni kama dead man walking.
mbuzi mmoja anaweza kubadilishwa na AK 47, they are so many thanks to chinese who copy and produces them in abundant.
sidhan kama serikali inaweza kujihusisha na cheap business kama iyo kwani maeneo hayo izo siraha ziko nyingi hadi hazina soko ninachoweza kukubali labda kupitishwa kupitia border zetu kwani ukaguzi wetu wa bidhaa zinazopita border zetu ni hafifu.