Haya mkurupukaji mwingine, mnaweka vitu vya kichokozi halafu majibu yanawashinda. Siku hizi ukiwa na laptop na software nzuri unaweza hata design MK254 mwingine na aka behave vizuri kuliko huyu anaeadika hapa JF. Kenya bado kutengeneza transistor zenu, capacitor zenu, CPU zenu. Design ya circuit board ni vitu vinafanya na watoto wadigo nchi zilizo endelea, wengine mpaka wana home kit za ku print circuit board zao. Lakini wanaweza kutengeneza components? Hapana, same as Kenya. You don't manufacturer any electronics components.