UN sec General Using a Kenyan Made Computer

Haha, sasa mnachangayikiwa, South African car lini ilikuwa ya Kenya? Assembly doesn't mean its Kenyan, BTW did assembly plant took off ???? Majibu tafadhali
Eti assembly, one plant in SA and another in Kenya Mombasa
 
Haha, sasa mnachangayikiwa, South African car lini ilikuwa ya Kenya? Assembly doesn't mean its Kenyan, BTW did assembly plant took off ???? Majibu tafadhali

Juzi nikaona eti Helicopter imeundwa na mtanzania, haikuweza hata paa

Halafu ikaja hii
 
hongera kenya nazani tz twapswa kuiga kwa hilo.

atleast mwaonesha nia ya kufika kule tutakako kama Africa

kenyatta si limbukeni, anajua kutekeleza anayopigania kwa watu wake
 
Nyie Wakenya hamnaga ubongo mzuri kama watiziii.

Watizii iko na akili mingi, wala hamuezi shinda.

Nyie mwatengeneza kompyuta, wakati ziko mingi . em ona vile duniani computer zimejaa. Apple, dell, Samsung, etc

Mnanikumbusha zile mastori eti kijana wa elimu ya msingi katengeneza gari ya petroli.!! Ha ha ha
Hatuna shida NAyo. Kwakua tuna magari mengi sana yamejaa. Hiyo gari Haito saidia Ku solve shida yoyote.

Likewise hiyo computer ya kenya"JKstar" haitosaidia kitu. Akati kuna kumpyuta touchscreen mzuri kama zile za Samsung..zina ukubwa wa materrabit nyingi sana.
Oneni jinsi vile mnavyojiaibisha.
 
So your argument ni tusitengeneze kompyuta because kuna kompyuta zingine ....wewe ni mtu mpumbavh sana ...Afrika itaendelea lini kama watu kama wewe wanafikra kama zako ...soo what ..umathani china imeendelea kwa nini ..they dared to challenge the giants ...usithani hatujui kuna samsung ...hatujali ..all we want ni our laptop out there ...
 
Ndio maana anasema hamna akili, maana comment yako yajieleza.
 
Mpumbavu utakua wewe...
Kwa taarifa yako dunia imekua kijiji(globalization).

Watu wenye akili hu share knowledge ili kutatua shida za dunia.

Unam-challenge mzungu kwa lipi? Akati hata kupunguza njaa nchini kwako hauwezi.



Mchina alibadili gia angani.

kuna kitu wanaita "Brain drain."
Ukiwa na akili hawahawa wazungu wanakuchukua kwenda kuishi kwao ili kuboresha technolojia yao wanakupa salary nzuri kabisa.

USA iliendelea kwa style hiyo.
Wala hujawahi soma kuhusu "operation paper clip."

Em google upate maaidia. Kuhusu father of rocket.

Utabaki racist milele wakati wakina

Obama wanakua marais wa mataifa makubwa duniani. Wakipanga namna Ya kuwanyonya na kuwatawala. Mmebaki tu sisi waafrika na wale wazungu.

Akili mbovu.

ViNchi vyenyewe hazikawii kuuana kwa vita za wenyewe kwa wenyewe.

Uliza wakina jack ma, Steve jobs, Mohammed farah, mohammad ali, asili yao ni wapi?.upate akili kidogo,
Where the world is heading...
Eti una mchalenji mzungu!!

Mzungu unamjua wewe?
 
Sema tu you dont like the kenyan laptop.. lakini usiseme ati africa hatuwezi jiendeleza cos ya developed countries zina bidhaa better quality.. sasa unalinganisha na Samsung..unathani Samsung walianza aje ...it starts with a dream and then a dare to challenge the world ..resilience and hope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…