utadaiwa coz mwajiri alithamin kupitisha fedha zako za mshahara katika bank hiyo hivyo hata terminal benefits zako zitaingizwa uko baada ya termination
Hatutakudai iwapo tu,mwajiri wako alitupatia CORPORATE GUARANTEE ambayo ameji'commit kwamba ukiwa terminated yeye ata'settle deni letu...otherwise you're in for it!!!!