UN: Tanzania Namba Tatu kwa Kasi ya Ukuaji wa Uchumi Afrika mwaka 2023

Pigo kubwa kwa walinda legacy!!
 
Hii ni habari njema. Ni hatua nzuri. Basi tu lakini Tanzania tunapaswa kuwa na uchumi mkubwa Afrika Mashariki na Kati.

Hapa ni mwanzoni sana, safari mbele ni ndefu na sio nyepesi. Kazi kubwa ya haraka sasa ifanyike ili kuutafsiri huo ukuaji kwenye maisha ya mtu mmoja mmoja, kuongeza na kuboresha vipato vya watu wa kada za chini na kati, kukuza sekta zenye kuajiri watu wengi kama kilimo, ufundi na ufugaji nk nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…