Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila kitu kina siku yake, kwa uchache:
Siku ya wanawake
Siku ya wakina Mama
Siku ya wanaume
Kuna
Siku ya wanaotumia mkono wa kushoto
Siku ya wanaovaa miwani
Siku ya wenye vitambi
Siku ya wenye vipara
Wapi siku ya MBUSUSU?
Aisee hata Mimi najitosheleza nilijua Mimi ndo hamnazo kumbe ipo mipimbi...🤣🤣Mtoa maada Ana akili ila sio timamu
😄😄😄😄 ngoja nitafakari kidogo mkuu.