Nimetoka Katavi
Member
- Oct 8, 2019
- 69
- 62
Nenda twitter ukasome matusi wakenya wanaiporomoshea Tz.
Nazidi kuichukia iyo nchi
Hiyo ndio inavyoonyesha ujinga wa hawa jamaa, kila siku wamejazana mitandaoni kuitukana na kuichafua Tanzania, bado wanategemea tuwachague, pumbavu sana hawa wakenya.Hivi kwani kama kweli Tanzania iliipigia Djibouti kura kuna ubaya gani?? Mtu si unachagua unayeona anakufaa??
Tatizo ni Kabudi alikwenda Kenya kujitangazia uamuzi wa Tanzania kusupport KenyaHivi kwani kama kweli Tanzania iliipigia Djibouti kura kuna ubaya gani?? Mtu si unachagua unayeona anakufaa??
Kura tumewapigia. Achanen na hiyo karatasi inayoenezwa na WakenyaTatizo ni Kabudi alikwenda Kenya kujitangazia uamuzi wa Tanzania kusupport Kenya
Kuna taarifa kwamba UN imekanusha kwamba hiyo karati inayozunguka mitandaoni sio kweli ni "Fake", ni wazi kwamba hiyo karatasi imetengenezwa na wakenya kama wafanavyo miaka yote kwa lengo baya la kutaka kuipakazia Tanzania.
Kwasababu hii sio Mara ya kwanza wala Mara ya PILI, hii imekua ni mkakati maalum uliopangwa na wakenya ili kuipakazia Tanzania kwa makusudi, ninawaomba watanzania kuwachukulia wakenya kama ni maadui wakubwa wa Tanzania hadi pale watakapo jirejebisha.
Naomba kuwakilisha.
---
- Kenya na Djibouti zilikuwa zinang'ang'ania uanachama katika baraza la Umoja wa Mataifa
- Kenya ilishinda katika mkondo wa kwanza na kura 113 dhidi ya Djibouti 78 lakini kuweka pengo kubwa wakati wa awamu ya pili kwa kura 129 dhidi ya 62
- Duru kutoka Umoja wa Mataifa imebainisha kwamba uchaguzi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ni siri na hivyo matokeo yanayosambaa mtandaoni ni feki
Wakenya kupitia mtandao wa Twitter walikuwa wameonyesha kukerwa na hatua ya mataifa jirani ya Tanzania, Ethiopia na Somali kuwageuka wakati wa kura ya kupata kiti muhimu cha uanachama katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
Katika kura hiyo iliyoandaliwa siku ya Jumatano, Juni 14, Kenya ilishinda kura 113 dhidi ya Djibouti iliyopigiwa kura na mataifa 78 katika awamu ya kwanza.
Habari Nyingine: Muigai wa Njoroge azindua kibao cha kumsuta Uhuru na habari zingine zilizotamba wiki hii
Japo hakuna aliyeibuka mshindi kwani ziliitajika kura 128 ili kutawazwa mshindi, zoezi hilo liliendelea siku ya Alhamisi, Juni 14, ambapo Kenya iliibuka mshindi kwa kura 129 huku idadi ya kura za Djibouti zikipingua hadi 62.
Hata hivyo, Mkurugenzi Mkuu wa katika Kundi la Dharura, Richard Gowan alikanusha matokeo hayo ambayo yalianza kuibika mtandaoni kuanzia Alhamisi, Juni 18 baada ya matokeo rasmi kutangazwa.
"Mjitahadhari na matokeo ya uchaguzi wa UNSC. Kura za UNSC huandaliwa kama siri na huongozwa na Rais wa Bunge la Umoja wa Mataifa kulingana na kipengee cha 83 cha sheria za UNSC," alisema Gowan.
Gowan pia aliweka bayana kuwa wanachama ambao wameorodhoshwa kwenye orodha hiyo sio wanachama wa UNSC.
"Jambo lingine kwa wale wanaghushi matokeo ya UNSC. Kosovo sio mwanachama wa UN," aliongezea Gowan.
Matokeo hayo yalikuwa yamezua ghadhabu miongoni mwa Wakenya huku jambo ambalo liliwashangaza Wakenya zaidi ni kuwa pia China ilikuwa miongoni mwa mataifa ambayo yalipigia Djibouti kura.
UN yapinga matokeo yanayodai Tanzania ilisaliti Kenya kwa kupigia Djibouti kura
Hivi "source" ya ile karatasi iliyokua inazunguka ni ipi?Source of this please. There is a possibility it’s a FAKE NEWS.
Hivi "source" ya ile karatasi iliyokua inazunguka ni ipi?
What is the legitimacy ya hiyo nembo?, kwani Cosovo ni mwanachama wa UN?.Hukuona official paper with UNSC nembo showing how different countries voted?
What is the legitimacy ya hiyo nembo?, kwani Cosovo ni mwanachama wa UN?.
If you accept that paper is fake, that means there is nor need to ask about the other one. It means the first news is not true, therefore there is no need for asking the legitimacy of the paper which denounces.You are right Kosovo is not yet a member of UN and also there is a possibility that official paper with UNSC nembo was FAKE one too, but my question still stands about the SOURCE of this thread.
If you accept that paper is fake, that means there is nor need to ask about the other one. It means the first news is not true, therefore there is no need for asking the legitimacy of the paper which denounces.
This thread is nor longer valid because it has been proven that all those allegations are not true.NOPE if that paper was FAKE one it is not justify the legitimacy of this thread. Share the SOURCE of this thread please! So that we can verify it’s LEGITIMACY.
This thread is nor longer valid because it has been proven that all those allegations are not true.
" it is no longer valid after it has been proven that paper is fake ", before it was valid.It’s no longer valid that means your created this from your own head!? You don’t have any source? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
" it is no longer valid after it has been proven that paper is fake ", before it was valid.
Like wise, Kenyans must stop their stupidity towards TanzaniaAlways make sure to verify your SOURCE in order to avoid FAKE NEWS on this Forum.