Una apply vipi Diploma ya uwalimu UDOM 2014/15 na HESLB

raskaka

Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
74
Reaction score
12
Samahan ndugu zangu, nilikuwa naomba kufahamu juu ya uwalimu wa dilpoma in science wanaapply vip maana nimeshindwa kufanya transaction kati ya mpesa na bodi ya mikopo ile namba trasaction id inaniambia haiko sawa ama bado hawajafungua system.

Naomba kam kuna mtu ama ndungu yako kaomba hii system ya walim dom anifahamishe natakungiliza shukurani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…