The Only Kilo
JF-Expert Member
- Jul 16, 2010
- 352
- 87
ww kubwa jnga unataka mke au bkra? Kwanza ww unayo?. Wtt wacojua kutongoza shda kwel kwel. Unatafuta bkra kwenye mtandao! Subr uwekewe ya mchna.
Mmh! Umesema awe tayari kuishi marekani kama ikitokea!!!! Mi nilidhani tayari kumbe mpaka itokee!!
Kwa vigezo hivyo sijui ! Kama unatafuta mchumba si useme? Na si kusingizia unawatafutia kazi
Kama wewe ni binti na unadhani unakidhi vigizo hivi hapa basi ni PM....(PM=private massage)
1. Mcha Mungu
2. Walau uwe na elimu ya diploma
3. Msafi na smart girl wa mwili wako pamo ja na mavazi
4. Mzaliwa wa mkoa wa Arusha meru
5. Unaishi na baba na mama
6. Mnyenyekevu
7. Bikira (ukiwa na hii sifa una 50%)
8. Miaka 18~22
9. Uwe tayari kuishi nje ya inchi (marekani) IKITOKEA
10. MWENYE MWILI WA WASTANI NARUDIA TENA MSAFI WA MWILI NA MAVAZI
bikra lazima iwe nachuro?
ya kaisiki vipi?
mii namba 7 hainihusu ila nafahamu mbuzi kagoma kwendaKama wewe ni binti na unadhani unakidhi vigizo hivi hapa basi ni PM....(PM=private massage)
1. Mcha Mungu
2. Walau uwe na elimu ya diploma
3. Msafi na smart girl wa mwili wako pamo ja na mavazi
4. Mzaliwa wa mkoa wa Arusha meru
5. Unaishi na baba na mama
6. Mnyenyekevu
7. Bikira (ukiwa na hii sifa una 50%)
8. Miaka 18~22
9. Uwe tayari kuishi nje ya inchi (marekani) IKITOKEA
10. MWENYE MWILI WA WASTANI NARUDIA TENA MSAFI WA MWILI NA MAVAZI
mii namba 7 hainihusu ila nafahamu mbuzi kagoma kwenda