Una biashara ama kampuni yako inaelekea kufa? Tuwasiliane tuiokoe isife

TheDealer

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
2,424
Reaction score
1,130
Hii ni nyingine tena baada ya ile ya idea!

Kama una biashara yako timamu ama kampuni yako timamu lakini inaelekea kufa kutokana na kushindwa kuiendesha, basi naomba tuwasiliane tufanye jambo la maana la kuiokoa biashara ama kampuni yako isife!

Tuwasiliane mapema iwezekanavyo kabla biashara haijaenda icu na kugharimu nguvu nyingi kwa ajili ya kuinusuru!

Tuwasiliane kupitia hapa: ideamakini at gmail dot com

Ahsanteni sana!!!!!!
 
IPTL vp wana kashfa ya mabilioni muda si mrefu itakufa, nenda wahi haraka utapata ulaji wa maana pale mkuu!
 

Mkuu mi nna ka idea kangu lakini ni ka May next year vp tunaweza kuwasiliana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…