jiwe gizani
JF-Expert Member
- May 25, 2021
- 380
- 507
Kweli kabisa unatuma unaliwa. Hii iluwahi kunitokea binti wa kazi alitaka kutuma pesa kwao sasa ikabidi watutumie namba ya kutuma pesa , msg ya kwao na bint inaingia tuma kwa namba hii na jina ninflani na msg ya matapeli ikaingia baada ya dakika tano ikabid tupige kwa bint wa kazi wataje namba na jina ila kama si zilikuaja zote kwa wakati sawa, ingeanza yao tungetumaMimi kwangu huwa nikifanya miamala ya kuweka pesa ndo hapo hapo napata sms za ile pesa tuma kwenye no hii na muda mwngne napigiwa sim na hao matapel baada tu ya kuweka pesa hii imeshatokea Mara nyng sana Cha ajab n kuwa hik kpind kifup kilichopita sijaweka mumala wa pesa ndefu karibia Mwezi na sijapata hzo sms ila jana nmeweka 600k hapo hapo zikaanza sms "tuma kwenye no hii" alaf kna mtu nilikua nmeshawasiliana nae nimtumie pesa yan hata kam unajua Kuna utapel unaweza ukajisahau ukatuma kutokana na uharaka walionao baada ya kuweka pesa
Yaani ukiwasiliana na mtu tu habar za kutuma pesa ukikata sim na sms hapo hapo had unaweza kuhis huwa wanakuskilizaKweli kabisa unatuma unaliwa. Hii iluwahi kunitokea binti wa kazi alitaka kutuma pesa kwao sasa ikabidi watutumie namba ya kutuma pesa , msg ya kwao na bint inaingia tuma kwa namba hii na jina ninflani na msg ya matapeli ikaingia baada ya dakika tano ikabid tupige kwa bint wa kazi wataje namba na jina ila kama si zilikuaja zote kwa wakati sawa, ingeanza yao tungetuma
Wanakera sana mkuuMkuu acha tu, hao Pimbi wanakera sana