CHEAT=Wanasiasa wetu!
Asilimia kubwa ya watu wa politiki ni cheaters wa vyeti!...Over 10 ministers wa Bunge letu wamedanganya kwa namna tofauti juu ya elimu zao!
CHEAT=Wanasiasa wetu!
Asilimia kubwa ya watu wa politiki ni cheaters wa vyeti!...Over 10 ministers wa Bunge letu wamedanganya kwa namna tofauti juu ya elimu zao!
Wasomi wengi wenye A & Bs sio risk takers, hawawezi kuvumilia matusi. As result wengi wanabaki kuwalilia wanasiasa wenye CHEAT wawaongezea mishahara kila mara.