you simply ignore him, asije akapata sifa bure... ila na wewe investigate kidogo uhusiano wake na mkie wako.
Una fanyaje pale mtu anapo tangaza ndoa kua anataka kumuoa mke wako
Na wewe bado upo hai na unaishi nae ,
tena mna pendana kweli!
Naomba ushuri ili nijue cha kufanya!
Bad thing ni kwamba wote,mke wangu na huyo mwizi ni wana JF!
Mwenye jibu la swali lako ni mkeo peke yake.
Tatizo sio jibu,tatizo ni nimchukulie hatua gani huyu jamaa,
maana katangaza ndoa mda mrefu nikamuacha mke wangu
aamue mwenyewe,
hadi leo hakuna kinacho endelea kwa jamaa, kimya kime tawala!
nipo na mke wangu tunaishi kwa raha,
Nifanyeje kwa huyu jamaa alo mdhalilisha mke wangu?
Ayaaaaa,i suggest you are wrongWala usimfanye kitu huyo jamaa,
Siri ya haya anayajua mke wako,
Wala usiusemee sana moyo wake,
Usije kuta hata huyo mtoto unayemtarajia ni mali ya huyo jamaa.
Shauri yako, tuia andaa msosi kula, nyamaza.
Una fanyaje pale mtu anapo tangaza ndoa kua anataka kumuoa mke wako
Na wewe bado upo hai na unaishi nae ,
tena mna pendana kweli!
Naomba ushuri ili nijue cha kufanya!
Bad thing ni kwamba wote,mke wangu na huyo mwizi ni wana JF!
Hapo kwenye bold panaonesha kuwa wewe ndiyo unampenda kweli mkeo,
na siyo kwamba mnapendana,
mngekuwa mnapendana kweli kama unavyosema,
Basi huyo mkeo asingempa matumaini huyo mwoaji mpya wa kuolewa naye.
Hapo juu LD amekuuliza kuhusu mkeo, unasema ukimuuliza eti mkeo,
anacheka cheka tu ksb ana utani mwingi.
Ebo??, Mbona sikuelewi, hivi mwanaume kweli ukae kiume na kumwonesha uso wa kiume mkeo na kuanza kumhoji jambo la muhimu kama hili ,eti aanze kuchekacheka???,
MBONA HAINIINGII AKILINI, UPO SERIOUS KWELI AU UNATANIA??,
kutongozwa kila mtu anatongozwa na hakukatazwi, ila inatakiwa mtongozwaji,
ujieleze wazi kwa mtongozaji kuwa wewe ni mke wa mtu, akatafute mwingine. Sasa Huyo mkeo knn asimwambie huyo mtangozaji kuwa yeye ni mke wa mtu??,kwanini anampa matumaini yasiyotekelezeka?? HIVI NI MKEO KWELI AU HAWALA??,
MI NAHISI WEWE UNATANIA, MTU ANAYETONGOZEWA MKEWE HAWEZI KUWA NA MAJIBU MEPESI KIASI HIKI KWENYE SUALA ZITO KAMA HILI. SIJAKUELEWA KABISA??.
Kwa vile kutangaza ni tofauti na kutenda, mpe mda mpaka atakapo tenda ndio umchukulie hatua pamoja na mkeo.Manake labda mkeo anataka kuweka historia ya kuolewa na wanaume wawili kwa wakati mmoja.