Kuna mapanga yanauzwa pale ubungo, yanauwezo mkubwa kiasi cha kuweza kutumika kukata kucha. Kanunue halafu nitakushauri cha kufanya!
Kaka kuiona mpaka imefikia hivyo bac ujue chezo walikuwa wakilifanya tangu long time,kwani huyo jamaa unamfaham na kama ndio kwa nn usimtolee uvivu?unabaki kutia huruma na mawazo tele au hata ngumi hujui?kutumia panga je?napo huwezi?jikaze kiume heshima irudi.
Una fanyaje pale mtu anapo tangaza ndoa kua anataka kumuoa mke wako
Na wewe bado upo hai na unaishi nae ,
tena mna pendana kweli!
Naomba ushuri ili nijue cha kufanya!
Bad thing ni kwamba wote,mke wangu na huyo mwizi ni wana JF!
kama mkeo anakupenda hutakiwi kuhofu, ila huyo jamaa atakuwa na kichaa.
Ila kama mkeo kabadilika, jua hiyo imekula kwako
Asante nnunu.....
Haaaaa ina maana umeiba ID ukajua mkeo yupo humu? Mambo ya humu usitilie manaani ki hivo inaweza kuwa ameamua kujifanya single ndio maana kapata tongozoUna fanyaje pale mtu anapo tangaza ndoa kua anataka kumuoa mke wako
Na wewe bado upo hai na unaishi nae ,
tena mna pendana kweli!
Naomba ushuri ili nijue cha kufanya!
Bad thing ni kwamba wote,mke wangu na huyo mwizi ni wana JF!
Ayaaaaa,i suggest you are wrong
Kha hivi ni kweli au?Hiyo point kweli,so far mke wangu tu ndo kesha changia kwenye thread hii,
jamaa naona anapita tu na kukimbia
Pole sasa umechukua hatua gani kwa wagoni wako?hahaha,gaga unaona kama utani vile eti?
wapo wote humu,...i hope one day watasema kitu,...mshikaji haja changia kwenye thread hadi sana,ila mke kachangia
but kwa utani kama siku zote
Una fanyaje pale mtu anapo tangaza ndoa kua anataka kumuoa mke wako
Na wewe bado upo hai na unaishi nae ,
tena mna pendana kweli!
Naomba ushuri ili nijue cha kufanya!
Bad thing ni kwamba wote,mke wangu na huyo mwizi ni wana JF!
Kuna dawa pia ya kuwanasisha muone dr mtimkavuTumia ile dawa ya kum-track utajua tu ukweli au unaogopa kuumia ukiujua ukweli?
Ndoa ni zaidi ya uchumba, unapoamua kutangaza ndoa kuna kitu kimoja ambacho wewe na mchumba wako mmeelewana. na kama huyo jamaa anatangaza tu mitaani bila ridhaa ya muolewaje unahaki ya kumshtaki maana huo ni udhalilishaji wa kijinsia.