Una imani kiasi gani na wenye taaluma hizi kwa sasa!

mayoscissors

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2009
Posts
975
Reaction score
478
1.Padri na kutubu dhambi kwa RC mtanielewa vyema
2.Mwanasheria ambaye atakuteta ukiwa na kosa la jinai na lazima umwambie ukweli
3.Daktari ambaye atakutibu ugonjwa pengine ni wa zinaa na umechepuka ndo ukzukwa na lazima mwezi atibiwe
Kwa ufupi hizi ni taaluma ambazo ni lazima useme ukweli ili upate huduma sahihi,sasa je kwa kizazi cha sasa hawa watu wana aminika kiasi gani?
Karibu na toa mfano hai ila usiri uzingatiwe,usitaje mtu jina wala mlipokutania.
 
madaktari awaaminiki kabisa ata mapadri ni mashushu wanasubili waseme umeuwa wakuletee pila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…