Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Nazipenda chapati hasa ziwe laini na rangi flani hivi... πEeh Nami nichangieni ninakipaji cha kupika chapati Isiyo na mfano (bites kiujumla)
Weee ni mtu na heshima zako mkuuWewe na dr MENEMENE TEKERI NA PERESI ni kweli mnachokipaji cha kuchekesha, mimi nina kipaji pia cha kuwatambua wachekeshaji wa asiliπ€£π€£π€£
Nilikuwa napiga mpk kamanda mmoja hiv alitak kumtuma jamaa mmoja hiv asimame ajitwishe chupa ya maji kichwani nilenge.. πMimi hata kuona nilikuwa sioni dah π₯Ί
Hongera sana ulikuwa vizuri kwenye medani
Aseeh hongera sana bruhNilikuwa napiga mpk kamanda mmoja hiv alitak kumtuma jamaa mmoja hiv asimame ajitwishe chupa ya maji kichwani nilenge.. π