Wanawake wanatofautiana malengo katika ndoa, na kulingana na maoni yake hapo inaonekana malengo yake yalikua ni:
1: kujionyesha kwa wazazi na watu wake wa karibu kua ameolewa ili apate heshima ( kama inavyochukuliwa na baadhi ya jamii).
2: kwenye ndoa yeye anapita tu, ili kumuwezesha kufikia kitu fulani, either kukuza biashara zake na vitu kama hivyo.
Mkuu, kwa sauti kubwa nakwambia hakuna kitu kama kuweka malengo yenu wazi kabla ya kuingia kwenye ndoa. Hakika watu waliofanya hivyo wanakula mema ya nchi...
Sasa kwa tabia hizi kweli kuna haja ya kuwasuport katika mambo ya maendeleo...Kiasi yupo sahihi [emoji23][emoji23]
Mwanamke ni kheri uchangie ujenzi na vitu tangible hata mkiachana mtagawana
Lakini kamwe usichangie kulisha familia haswa kama kuna ndugu etc familia kubwa hakuna mtu amewahi kusifiwa Au kukumbukwa kwa kulisha ndugu haswa ndugu wa mume hawa mkitengana na mume watakuwa upande wake daima sio ndugu zako
Hio nguvu ni kheri ujenge na kuwezesha kwenu
Mwanamke ishi kwa akili sio kuweka hisia siku yakikukuta utaisha.....
Wananchi wenye hasira kali karibuni mnipopoe
Hahahahahah, mkuu Mungu ni mwema ataniepushia mpaka nifikisha angalau 70 yearsUmeanza kuwaelewa wanawake mkuu[emoji23]
Wanasema hio ni dalili ya kifo
Mungu akuepushie mbali[emoji1374]
Sasa kwa tabia hizi kweli kuna haja ya kuwasuport katika mambo ya maendeleo...
Hao watoto pengine sio wetu,Endeleeni kutu support tu mkuu kumbuka hatuwezi kamwe kuwa acha watoto wenu mkitangulia mbele ya haki Au tukitengana support yako bado itawafaa wanao
Endeleeni kutu support damu zenu zitakula mafanikio yetu sio lazima iwe nyie binafsi[emoji4]
HahahBolingo motema na ngai
Maisha ni kile unachochagua, amechagua kuishi namna hiyo kwenye ndoa yake, its her life, let her be, ila sio maisha mazuri wala productive kwangu mimi, in that case hata maendeleo ya familia yatakua magumu sana na anamfanya mwenza anabeba msigo mkubwa sana, kama hata kijiko ukinunua unaomba refund, ni hatati sana, pia ni maisha ambayo yanaweza kuwaathiri watoto kwa kiasi fulani, irresponsible woman will bring up irresponsible kidsHabari za jumapili.
Katika kuzunguka zangu mtandaoni nikakutana na hii comment ya mdada tena mke wa mtu kwa mujibu wa maelezo yake nanukuu.
"kandake_beauty_tz Nina ndoa ya miaka 12 sijawahi hata kuchangia msumari Kwenye ujenzi na siwezi hili swala niliji funzaga tokea nipo binti niliona vile mama yangu alihangaika na ujenzi alafu akaishia kuishi mwanamke mwingine na wanae.
Sinunui chakula wala silipi ada yani ata nikinunua kitu kwa hela yangu naomba refund . Never trust men kabisaa "
Nini maoni yako?
Hiyo sio ndoa, ndoa ambayo unaogopa hata kuchangia maendeleao ya familia yako maana yake humuamini mume wako, kama mmefikia hatua ya wewe kuogopa kuchangia jambo lolote kwenye familia kwa fikra kwamba utaachwa atafurahia mwingine mali basi ni heri kuvunja hiyo ndoa.Kiasi yupo sahihi [emoji23][emoji23]
Mwanamke ni kheri uchangie ujenzi na vitu tangible hata mkiachana mtagawana
Lakini kamwe usichangie kulisha familia haswa kama kuna ndugu etc familia kubwa hakuna mtu amewahi kusifiwa Au kukumbukwa kwa kulisha ndugu haswa ndugu wa mume hawa mkitengana na mume watakuwa upande wake daima sio ndugu zako
Hio nguvu ni kheri ujenge na kuwezesha kwenu
Mwanamke ishi kwa akili sio kuweka hisia siku yakikukuta utaisha.....
Wananchi wenye hasira kali karibuni mnipopoe
Thread closedWanawake wanatofautiana malengo katika ndoa, na kulingana na maoni yake hapo inaonekana malengo yake yalikua ni:
1: kujionyesha kwa wazazi na watu wake wa karibu kua ameolewa ili apate heshima ( kama inavyochukuliwa na baadhi ya jamii).
2: kwenye ndoa yeye anapita tu, ili kumuwezesha kufikia kitu fulani, either kukuza biashara zake na vitu kama hivyo.
Mkuu, kwa sauti kubwa nakwambia hakuna kitu kama kuweka malengo yenu wazi kabla ya kuingia kwenye ndoa. Hakika watu waliofanya hivyo wanakula mema ya nchi...
Hahaha mzee wa mbususu, i hope mbususu has done good to you in this lifeHuyu sasa ndio mwamke mwenye akili na msema ukweli.
I hope tuu kuwa mbususu anaitoa pale mwanaume anahitaji bila masharti yoyote
Sahihi kabisa nashangaa wanawake wenye misimamo kama wake ,kama ameshajua mwisho wa ndoa yake kwanini asijiengue kuliko kumtesa mumewe na watotoMaisha ni kile unachochagua, amechagua kuishi namna hiyo kwenye ndoa yake, its her life, let her be, ila sio maisha mazuri wala productive kwangu mimi, in that case hata maendeleo ya familia yatakua magumu sana na anamfanya mwenza anabeba msigo mkubwa sana, kama hata kijiko ukinunua unaomba refund, ni hatati sana, pia ni maisha ambayo yanaweza kuwaathiri watoto kwa kiasi fulani, irresponsible woman will bring up irresponsible kid