The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Mimi sina maoni.GT.
Mi nashuhudia maajabu tu. Hakuna sera ni vitisho.tu aha ha ha ha π π π€£ nyie maCCM nani kawaambia sisi tunapiga kura.
Kazi mnayo mwaka huu. Uchaguzi wenu ni wa mchongo. Haukubaliki duniani na mbinguni hatuji.kupiga kura..
Hamna sera mmebaki kutisha tisha.watu hovyo bure kabisa.
Kwamba yeye ataingia Frontline au anategemea hawa hawa binadamu ambao wanaweza kubadilika muda wowote? Au amiri jeshi kwa majini na kura za maruhani.Umeishaambiwa ni amri jeshi mkuu, wamejipanga kisawasawa kukabiliana na waandamanaji! We hutishiki?
Huwezi kupambana na umma. Lazima uwasikilize watu unawaongozaUmeishaambiwa ni amri jeshi mkuu, wamejipanga kisawasawa kukabiliana na waandamanaji! We hutishiki?
Mambo ya uongo haya tija kwa faida! Ungetumia muda wako kutafuta hoja za kweliGT.
Mi nashuhudia maajabu tu. Hakuna sera ni vitisho.tu aha ha ha ha π π π€£ nyie maCCM nani kawaambia sisi tunapiga kura.
Kazi mnayo mwaka huu. Uchaguzi wenu ni wa mchongo. Haukubaliki duniani na mbinguni hatuji.kupiga kura..
Hamna sera mmebaki kutisha tisha.watu hovyo bure kabisa.
Kwahiyo yale matrekta mil 10 hatupati π’, nshaanza kuandaa mashambaMtu aliyekataliwa na bado hakuna anayeshindana nae zaidi ya kivuli chake unategemea awe na sera gani?
Labda alimaanisha matrekta ya kuteka watu kinyume na hapo ni porojo tupu.Kwahiyo yale matrekta mil 10 hatupati π’, nshaanza kuandaa mashamba
Hahaha.....eti machozi mekundu.....machozi yana langi?Ungejua utaratibu unaotumika kupata watu kujaza kwenye mabasi kuwapeleka maeneo ya kampeni ungelia machozi mekundu.